Posts

Showing posts from October 18, 2016

NJIA YA RAHISI YA KUPIGA WINDOW COMPUTER KWA FLASH AU MEMORY CARD

Kwa tutorial nyingine nyingine za jinsi ya kuflash simu na Ku unlock kutoa pattern gmail lock icloud tembelea my new blog *JINSI YA KUPIGA WINDOW COMPUTER KWA KUTUMIA FLASH AU MEMORY CARD* Vifaa ~window image ~flash au memory card ~bootable software Njia ~download window yoyote unayoitaka 7/8/8.1/10 Au copy sehemu ~extract hyo window file kama lipo in RAR file au in ZIP file ~andaa  4Gb na kuendelea au memory card na card reader au adapter yake ya kuchomekea kwenye computer ~kwenye computer nyingine weka software ya bootable ~ifunge hiyo software then hyo itaifanya flash yako au memory card bootable  ni njia rahis kuliko zote ya kuchange flash au memory card kuwa bootable Ikimaliza utaona ~automatic ile memory card au flash imechange jina na kuanzia bootable alaf heruf na inakua kama ina Ka mshale Ka kijani ~kifuatacho ni ku iweka ile window kwenye hyo memory ~ angalizo Window file ziweke open zikopi kama zilivyo kwenye hiyo flash usiweke ndan ya folder moja ...