Posts

Showing posts from September 8, 2016

JINSI YA KUFLASH SIMU ZA NOKIA

HOW TO FLASH NOKIA PHONES  Jinsi ya kuflash Simu za Nokia  Habari ya mda huu ndugu msomaji Leo naomba kutoa shule jinsi ya kuflash Simu za Nokia kwa kutumia phoenix  Jana sikupost chochote mambo yalinibana OK Leo naomba nitoe darasa kuhusu Simu za Nokia hapa na baadhi ya Nokia lumia zinaingia ni njia zake za kuziflash usishituke ukuaona Simu inajizima au inawaka mwanga mweupo kuna vitu vyakuwa navyo tu OK Na hii Nokia lazima uwe na file LA Simu na LA Nokia ni Dogo so kubwa mb 20 had 200mb itategemea Simu unayotumia Step 1 Tafuta software ya kuflashia yyt m nitaelekezea phoenix Step 2 Ukishadownload ukiistal itaomba u download framework yake utairuhusu Step 3 Download file LA Simu husika extract utaliweka kwenye folder moja LA phoenix limeandikwa product Step 4 Open phoenix Juu ya phoenix Utaona choose file then zitakuja options nyingi Zenye RM afu mbele model no RM yenyewe model saw a na Simu yako Utarud nyum place imeandikwa connection choose no connec...