NJIA RAHISI KUFLASHI SIMU ZA BLACKBERRY HII HAPA.
NJIA RAHISI YA KUFLASH SIMU ZA BLACKBERRY Ijue njia rahis na fupi ya kuflash simu za BlackBerry bila kujisumbua kudownload na kuinstal drivers pia kudownload pia bila kudownload firmware ya simu Vifaa USB cable Simu husika Computer yyt Mbs Ka 500 Wireles au modem Software Hapo kazi inakua 70% done Hapo uninstall software na kuconect BlackBerry yako kazi itajimaliza yenyewe na itajiwasha Kwa maelezo zaidi mchek WhatsApp 076612208 Written by me sylverhance