PRIVACY PROTECTION LOCK
Jinsi ya kulock na kutoa *PRIVACY PROTECTION PASSWORD* Hii ni features ambayo Simu zote zenye android system kuanzia 4.3 inayo ambayo inasaidia kulock Simu yako ya android na MTU akibidilisha laini au aki hard reset na pia akiflash normal haitok inabak na os inafanana kidogo na gmail lock lkn utokaji wa hii ni mgumu kuliko gmail lock ambayo ni rahis *jinsi ya kuiweka* Nenda Settings Security Ant theft au kwa baadhi ya Simu huandikwa privacy protection Hapo ukienable itakupa note utabonyeza tick then utaset password Ukisha enable itakua tayari *faida* Ni strong kuliko hata gmail lock Simu ikibadilishwa lain au uki hard reset kwa njia ya mkono haitok Pia hata ukiflash normal haitok Kidogo inafaa kwa Simu za 4.3 jellbean na kitikat 4.4 had 5.0 lollipop ambazo hazina gmail lock ila hii feature IPO na ni nzuri Njia ya kutoa hiyo pia ipo (ntazionesha chini kwenye jinsi ya kutoa) *hasara* Ukichange lain itakuja itakuhitaji uweke password yako Uki res...