NJIA YA RAHISI YA KUPIGA WINDOW COMPUTER KWA FLASH AU MEMORY CARD
Kwa tutorial nyingine nyingine za jinsi ya kuflash simu na Ku unlock kutoa pattern gmail lock icloud tembelea my new blog
*JINSI YA KUPIGA WINDOW COMPUTER KWA KUTUMIA FLASH AU MEMORY CARD*
Vifaa
~window image
~flash au memory card
~bootable software
Njia
~download window yoyote unayoitaka 7/8/8.1/10
Au copy sehemu
~extract hyo window file kama lipo in RAR file au in ZIP file
~andaa 4Gb na kuendelea au memory card na card reader au adapter yake ya kuchomekea kwenye computer
~kwenye computer nyingine weka software ya bootable
~ifunge hiyo software then hyo itaifanya flash yako au memory card bootable ni njia rahis kuliko zote ya kuchange flash au memory card kuwa bootable
Ikimaliza utaona
~automatic ile memory card au flash imechange jina na kuanzia bootable alaf heruf na inakua kama ina Ka mshale Ka kijani
~kifuatacho ni ku iweka ile window kwenye hyo memory
~ angalizo
Window file ziweke open zikopi kama zilivyo kwenye hiyo flash usiweke ndan ya folder moja litagoma kusoma
~fungua folder la window then mark all file na setup copy afu nenda kwenye bootable flash au memory card then paste ikimaliza sasa hapo unakua tayari 70% kumaliza
~ nenda kwenye PC ya kupiga window
~chomoke hiyo flash washa computer
~ikiwa inawaka itasoma automatic
Kwa window 7 itaanza window is loading file then mstari unapita
Kwa window 8
Itaonesha icon ya windows
Pia kwa window 8.1 na 10 zinawaka hivyo hivyo kwa kuonesha icon ya window
Ikitoa in case haijasoma
Unaizima computer then ukiwasha chagua options moja kufatana na computer yako coz computer zinatofautiana lakn ww tafuta ina yokupeleka setup au boot manager moja wapo
Hii inafanana na wale ambao washazoea computer inawaka na kushikilia F12 au F 2 au ili window I some hapo watu hawajui kwann tunafanya hvyo hyo ni inakupeleka moja kwa moja kuchoose either oboot kwa CD au USB
Ukishaselect ruhusu I restart short cut ya kurestaart ni
Kushiklia button ya Ctlr na alt na delete kwa pamoja computer ita restart hapo inaziload windows files kiurahis
OK
~ikishamaliza itafunguka na kukuonesha jina la window na kukuomba ui install ww click install
Then itacopy window files na Ku ya expand
Then itakupeleka sehemu ya disk management
Utaformart ili kufuta kila kitu na ile window ya Mara ya kwanza
Then uta INA kuna option ya delete
Hyo itafuta partition ya Mara ya kwanza then ikimaliza utaona option imeandikwa new hapo ndo pakutengenezea partion the utaona kimefunguka kibaa kidogo kina hitaji tarakimu
Hapo utajaza ukubwa unaotaka kwa local disk c ambayo ndo inayotumika kuistal window na softwares so hapo utaandika kama unahitaji GB 10 kwa mfano utazidisha Mara 1000 hapo utajaza 10000
Ukishajaza bonyeza next itajicalculate yenyewe volume iliyobak
Then bonyeza next
Italeta options mbili
1 upgrade
2 custom install
Chagua custom install
Then bonyeza next
Itacopy
Ita expand files
Ita install features
Ita install updates
Then hapo itamalizia completeing installation
Itaomba kujirestart chomoa flash ili isianze upya kusoma window la sivyo utaznguka hapo hapo
Ukishachomoa itajiwasha na kumalizia I astallalation
Then itaomba uset
Jina
Time zone
Password kama unahitaji
Hapo bonyeza next itamaliza hapo utakua ushapiga window
Utabakisha Ku activate
Na baadhi ya window image huomba keys inapowaka kama unazo utaziweka kama hauna utaweka cracks keys lkn ukimaliaza lazima u activate
Kwa maswali kama kawa ni inbox iwe rahis kuyaona written by
*sylverhance*

Comments
Post a Comment