Posts

Showing posts from September 3, 2016
Jinsi ya kuflash Simu Habari za Mda huu Kuflash Simu inategemea unatumia vitu kadha na inategemea kama unatumia box au software au box ngoja nielekeze kwa kutumia software ngoja nianze na spreadtrum phones Simu aina ya itel na baadhi ya kichina zinaingia ndan OK stockrom file zake ni ndogo ukiextract unakuta file limeandikwa PAC file hilo PAC ndo linalohusika katika kuflash hapo unahitaji either spreadtrum download tool au miracle software au eagle eye au Aladdin hapo inabd uingie ulochague PAC file LA Simu husika then utabofya sehem imeandikwa download kwa spreadtrum download tool au start kwa software kama miracle box hapo ikishabofaya unaconnect Simu yako ukiwa umeshikilia boot key ukiconnect na ikisomwa bhas kaz imeisha coz itaanza kuproses mpk itakuonesha tick kwa download tool kwa software nyingine itandika done hapo kazi imeisha usisahau issue ya drivers za spreadtrum na ziwe latest kwa urahis Wa kazi  post nyingine ntaongelea Simu nyingine aina ya mtk phone au media tec a...
JINSI YA KUBADILISHA IMEI habari za Mda huu wana it Leo naomba nitoe shule jinsi ya kuchange imei 1 imei ni tarakimu 15 za kipekee za utambulisho Wa Simu kila Simu INA imei ya pekee bila imei Simu ni kam mp4 player tyu 2 kwann imei inarudishwa au kubadilishwa imei inabadilishwa ? Imei hupotea Mara chache Simu ikiflashiwa au ukiongeza uwezo (,upgrade) na pia kubadilisha imei hutokea pale Simu ipo ni ya nchi nyingine hairuhusiwi kwa nchi nyingine ukibadilisha inakubali lakini kubadilisha imei tofauti ni kinyume cha sheria  3 jinsi ya kubadilisha au kurudisha ime  Vitu vinavyohitajika  :imei nzima kwa kesi unabadilisha au unairudishia imei take ;Phone drivers za kusaidia computer isome computer : software za kubadilishia au box ;computer  Hapo sasa njia zinatofautiana kwa software utakayotumia au kwa box utakalo tumia miracle Aladdin volcano dragon nk Kwa ujumla ni unafungua software yako chagua sehem ya repair imei au baadhi huandika imei au imei switched of...