Posts

Showing posts from September 6, 2016

MIRACLE BOX SOFTWARE CRACKS DOWNLOAD

Image
  MIRACLE BOX Software za kuflash Ku unlock Simu    za lain moja kutoa password kifurushi chenye software za kutosha ndan yake kwa 50000 ikiwemo miracle box cracks eagle eye box cracks aladdin software na universal drivers zote unapata za box zote mcheck whatsapp 0766122058 ujipatie software na maelekezo email sylverhance@gmail.com MIRACLE BOX  DOWNLOAD

HOW TO FLASH MTK AND MEDIATECK PHONES

JINS YA KUFLASH SIMU ZA MTK NA MEDIATEK Leo naomba kuongelea jins ya KUFLASH Simu za MTK au MEDIATEK aina hii ya Simu inajumuisha Simu zote za techno huawei magnus infinix HTC copy xbo lkn hazihusishi Simu za Samsung iPhone HTC og na ITel  Simu za mtk au media tech stock ROM files zake zipo google for free ingawa baadhi utakumbana na matangazo wakati Wa Ku download Ila usikate tamaa  Ukishadownload extract ndan utakuta mafail mengi likiwemo file moja linaitwa scatter file hilo file ndo linatoa kama mwongozo kwa software unayotumia na aina ya Simu kupita scatter file files nyingine zinajipack automatic ndan ya software husika Ukisha extract hilo file nenda Fungua software yako either miracle Aladdin sp flash tool volcano crack yyt option zinafana kuna utofaut Mdogo sana lkn zote ukifika zitakwambia ulocate scatter file afu uselect litajipack likimaliza itabd ubonyeze start au download kwa wale Wa sp  Then kifuatacho zima Simu yako toa betri lirudishe af...