JINSI YA KUFLASH SIMU ZA NOKIA

HOW TO FLASH NOKIA PHONES 
Jinsi ya kuflash Simu za Nokia 
Habari ya mda huu ndugu msomaji
Leo naomba kutoa shule jinsi ya kuflash Simu za Nokia kwa kutumia phoenix 
Jana sikupost chochote mambo yalinibana OK Leo naomba nitoe darasa kuhusu Simu za Nokia hapa na baadhi ya Nokia lumia zinaingia ni njia zake za kuziflash usishituke ukuaona Simu inajizima au inawaka mwanga mweupo kuna vitu vyakuwa navyo tu OK Na hii Nokia lazima uwe na file LA Simu na LA Nokia ni Dogo so kubwa mb 20 had 200mb itategemea Simu unayotumia
Step 1
Tafuta software ya kuflashia yyt m nitaelekezea phoenix
Step 2
Ukishadownload ukiistal itaomba u download framework yake utairuhusu
Step 3
Download file LA Simu husika extract utaliweka kwenye folder moja LA phoenix limeandikwa product
Step 4
Open phoenix
Juu ya phoenix
Utaona choose file then zitakuja options nyingi
Zenye RM afu mbele model no
RM yenyewe model saw a na Simu yako

Utarud nyum place imeandikwa connection choose no connection

Utabonyeza sehemu ya flashing utachagua firmware update hapo kuna tab itatokea Juu Julia INA button INA vidoti viwil utaibonyeza itajiload hapo hapo kwenye hyo tab shuka chin chagua refrubish yatskuja maelekezo rahis chomoa USB yako kwenye Simu chomoa betri lirudishe then utachomeka USB utabonya Mara moja cha kuwashi itaanza kusoma iache imalize itajiwasha yenyewe hapo itakua tayarii
 Note install PC suite afu chomeka Simu install drivers automatic
Au install manually download then install
Pia ikigoma rudia steps make sure una download exactly firmware
Pia kwenye Ku chagua RM chagua sawa na Simu yako ukipata shida nicheki
Asantenii by sylverhance

Comments

  1. Jinsi Ya Kuflash Simu Za Nokia >>>>> Download Now

    >>>>> Download Full

    Jinsi Ya Kuflash Simu Za Nokia >>>>> Download LINK

    >>>>> Download Now

    Jinsi Ya Kuflash Simu Za Nokia >>>>> Download Full

    >>>>> Download LINK qe

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

GSM FLASHER TOOLS

NJIA YA RAHISI YA KUPIGA WINDOW COMPUTER KWA FLASH AU MEMORY CARD