JINSI YA KUBADILISHA IMEI habari za Mda huu wana it Leo naomba nitoe shule jinsi ya kuchange imei
1 imei ni tarakimu 15 za kipekee za utambulisho Wa Simu kila Simu INA imei ya pekee bila imei Simu ni kam mp4 player tyu
2 kwann imei inarudishwa au kubadilishwa imei inabadilishwa ?
Imei hupotea Mara chache Simu ikiflashiwa au ukiongeza uwezo (,upgrade) na pia kubadilisha imei hutokea pale Simu ipo ni ya nchi nyingine hairuhusiwi kwa nchi nyingine ukibadilisha inakubali lakini kubadilisha imei tofauti ni kinyume cha sheria 
3 jinsi ya kubadilisha au kurudisha ime 
Vitu vinavyohitajika 
:imei nzima kwa kesi unabadilisha au unairudishia imei take
;Phone drivers za kusaidia computer isome computer
: software za kubadilishia au box
;computer 
Hapo sasa njia zinatofautiana kwa software utakayotumia au kwa box utakalo tumia miracle Aladdin volcano dragon nk
Kwa ujumla ni unafungua software yako chagua sehem ya repair imei au baadhi huandika imei au imei switched off unaandika imei nzma unatabonyeza start utachomeka Simu ;; Simu inazimwa inatolewa betri afu inarudishwa ndo inachomekwa na kwa baadhi unashikiria boot key 
Hapo itadetected na kubadilisha imei 
 Ugumu Wa hii prosses hutokea shida ni kupata box ambali ni gharama laki tatu had NNE au software au software mbadala (cracks) mfano miracle box cracks 
Ambazo nazo zinauzwa kwa wahindi ni laki kwa mbongo unapata had 50000 
Za free mtandaon zinakuwa trial na zenyewe inabd uznunue tena ili upate pro version shida inakuja kulipia ni kwa dollars pia ni kwa online inakuja bora ununue cracks tu kwa wabongo wenzio
Shida nyingine ni drivers za Simu husika nyingine zinapiga kazi nyingine inabd uziupdate 
Shida nyingine utofauti Wa Simu Samsung HTC media tech spreadtrum zina njia tofauti ila ukiwa makini ni kazi rahis kuliko kuflash Simu au kunlock na Ku upgrade kwa wanahitajia software unaweza nunua kwa wauzaji au mcheck 0766122058 akuunganishe unapata na drivers na maelekezo yote  ntaanda post ya jinsi ya kuchange imei kwa miracle box au software ya miracle box cracks kiundani in the next post kama una swali kuurahi unaniinbox ili iwe rahis kuliona swali whatsapp 0716864937
0766122058

Comments

  1. Sylver Tech Solution >>>>> Download Now

    >>>>> Download Full

    Sylver Tech Solution >>>>> Download LINK

    >>>>> Download Now

    Sylver Tech Solution >>>>> Download Full

    >>>>> Download LINK Zn

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

JINSI YA KUFLASH SIMU ZA NOKIA

GSM FLASHER TOOLS

MIRACLE BOX SOFTWARE CRACKS DOWNLOAD