Posts

NJIA YA RAHISI YA KUPIGA WINDOW COMPUTER KWA FLASH AU MEMORY CARD

Kwa tutorial nyingine nyingine za jinsi ya kuflash simu na Ku unlock kutoa pattern gmail lock icloud tembelea my new blog *JINSI YA KUPIGA WINDOW COMPUTER KWA KUTUMIA FLASH AU MEMORY CARD* Vifaa ~window image ~flash au memory card ~bootable software Njia ~download window yoyote unayoitaka 7/8/8.1/10 Au copy sehemu ~extract hyo window file kama lipo in RAR file au in ZIP file ~andaa  4Gb na kuendelea au memory card na card reader au adapter yake ya kuchomekea kwenye computer ~kwenye computer nyingine weka software ya bootable ~ifunge hiyo software then hyo itaifanya flash yako au memory card bootable  ni njia rahis kuliko zote ya kuchange flash au memory card kuwa bootable Ikimaliza utaona ~automatic ile memory card au flash imechange jina na kuanzia bootable alaf heruf na inakua kama ina Ka mshale Ka kijani ~kifuatacho ni ku iweka ile window kwenye hyo memory ~ angalizo Window file ziweke open zikopi kama zilivyo kwenye hiyo flash usiweke ndan ya folder moja ...

NETWORK UNLOCKING SOFTWARE

Software inayounlock kila aina ya Simu za mtaao mmoja kama vodaphone simu za tigo simu za halotel ili zitumie lain nyingine pia na mitandao ya njee ilizisome lsini za Tanzania zinapatikana mcheck 0716864939 whatsapp

GB WhatsApp download

Pakua GB whatsapp yenye sifa nyingii DOWNLOAD GB Whatsapp ikigoma root simu yako kama ni android 6 tumia twrp file kuroot simu

NETWORK UNLOCKING SOFTWARE download

Image
      SOFTWARE ~unlocks network direct ~reads network unlock codes ~UNLOCK NETWORKS CONSULT  0716864937 WHATSAPP 0766122058 EMAIL s ylverhance@gmail.com

ALL WINDOW 7/8/8.1/10 KEYS AND PERMANENT ACTIVATORS

Window 10 permanent activators Windows 8 permanent activators Windows 7 permanent activators  Follow me to get them

DO YOU NEED YOUR OWN BLOG?

HOW TO CREATE A BLOG AND EARN MONEY Je unashida ya kutengenezewa blog au kununua blog kwa bei nafuu pia una taka jifunzaa kutengeneza blog tutafute kwenye 0766122058 kwa bei nafuu sanaa

NJIA RAHISI KUFLASHI SIMU ZA BLACKBERRY HII HAPA.

Image
NJIA RAHISI YA KUFLASH SIMU ZA BLACKBERRY   Ijue njia rahis na fupi ya kuflash simu za BlackBerry bila kujisumbua kudownload na kuinstal drivers pia kudownload pia bila kudownload firmware ya simu Vifaa USB cable Simu husika Computer yyt Mbs Ka 500 Wireles au modem Software Hapo kazi inakua 70% done  Hapo uninstall software na kuconect BlackBerry yako kazi itajimaliza yenyewe na itajiwasha Kwa maelezo zaidi mchek WhatsApp 076612208 Written by me sylverhance