Software inayounlock kila aina ya Simu za mtaao mmoja kama vodaphone simu za tigo simu za halotel ili zitumie lain nyingine pia na mitandao ya njee ilizisome lsini za Tanzania zinapatikana mcheck 0716864939 whatsapp
HOW TO CREATE A BLOG AND EARN MONEY Je unashida ya kutengenezewa blog au kununua blog kwa bei nafuu pia una taka jifunzaa kutengeneza blog tutafute kwenye 0766122058 kwa bei nafuu sanaa
NJIA RAHISI YA KUFLASH SIMU ZA BLACKBERRY Ijue njia rahis na fupi ya kuflash simu za BlackBerry bila kujisumbua kudownload na kuinstal drivers pia kudownload pia bila kudownload firmware ya simu Vifaa USB cable Simu husika Computer yyt Mbs Ka 500 Wireles au modem Software Hapo kazi inakua 70% done Hapo uninstall software na kuconect BlackBerry yako kazi itajimaliza yenyewe na itajiwasha Kwa maelezo zaidi mchek WhatsApp 076612208 Written by me sylverhance
HOW TO FLASH NOKIA PHONES Jinsi ya kuflash Simu za Nokia Habari ya mda huu ndugu msomaji Leo naomba kutoa shule jinsi ya kuflash Simu za Nokia kwa kutumia phoenix Jana sikupost chochote mambo yalinibana OK Leo naomba nitoe darasa kuhusu Simu za Nokia hapa na baadhi ya Nokia lumia zinaingia ni njia zake za kuziflash usishituke ukuaona Simu inajizima au inawaka mwanga mweupo kuna vitu vyakuwa navyo tu OK Na hii Nokia lazima uwe na file LA Simu na LA Nokia ni Dogo so kubwa mb 20 had 200mb itategemea Simu unayotumia Step 1 Tafuta software ya kuflashia yyt m nitaelekezea phoenix Step 2 Ukishadownload ukiistal itaomba u download framework yake utairuhusu Step 3 Download file LA Simu husika extract utaliweka kwenye folder moja LA phoenix limeandikwa product Step 4 Open phoenix Juu ya phoenix Utaona choose file then zitakuja options nyingi Zenye RM afu mbele model no RM yenyewe model saw a na Simu yako Utarud nyum place imeandikwa connection choose no connec...